Marcus Rashford akiruka kwa ufundi kumalizia krosi nzuri ya Dan James kuifungia bao la kuongoza Manchester United dakika ya 36 kabla ya Adam Lallana kuisawazishia Liverpool dakika ya 85 timu hizo zikitoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Captain's Column: Maya keen to maintain momentum
-
United Women's objective today is to beat Everton and take a win into the
international break, says Maya.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment