Mshambuliaji Mbelgiji, Michy Batshuayi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 86 ikiwalaza wenyeji, Ajax 1-0 katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam usiku wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
50 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment