James Milner akiifungia Liverpool kwa penalti ya utata dakika ya 90 na ushei kuipa ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Liverpool walitangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 40, kabla ya James Maddison kuisawazishia Leicester dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lakers' JJ Redick Talks 'Complete Devastation' from LA Wildfires After
Losing Home
-
Los Angeles Lakers head coach JJ Redick gave an emotional account of the
"complete devastation" left behind by the wildfires that burned down his
family's…
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment