Angel di Maria akimtungua Walter Benitez kuifungia Paris Saint Germain bao la kwanza dakika ya 15 kabla ya kufunga la pili dakika ya 21 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Nice kwenye mchezo wa Ligi ya Ufaransa, Ligue 1 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Kylian Mbappe dakika ya 88 na Mauro Icardi dakika ya 90 na ushei, wakati la Nice lilifungwa na Ignatius Ganago dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Noise machines installed by LA Home Depot ‘torture’ for day laborers,
advocates say
-
Advocates call for removal of machines and demand that company speak out
against ICE raids in parking lots
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment