
Thursday, October 31, 2019

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIKOSI cha Yanga SC kimeondoka leo jioni mjini Dar es Salaam kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa marudian...
MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO
Thursday, October 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO la penalti dakika ya 90 na ushei limeinusuru Mbao FC kuchapwa tena nyumbani, baada ya kulazimisha sar...
SAMATTA AFUNGA BAO MUHIMU KRC GENK YATOKA NYUMA NA KUPATA SARE YA 2-2 NYUMBANI
Thursday, October 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao la kwanza la kusawazisha, timu yake, ...
RONALDO AFUNGIA DAKIKA YA MWISHO JUVE YAICHAPA GENOA 2-1
Thursday, October 31, 2019
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Juventus kwa penalti dakika ya 90 na ushei baada ya yeye mwenyewe kuchez...
RODRYGO AFUNGA REAL MADRID YAICHAPA LEGANES 5-0 LA LIGA
Thursday, October 31, 2019
Kinda Mbrazil, Rodrygo Silva de Goes aliyeoandishwa kutoka timu B akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya sab...
RASHFORD AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI CARABAO
Thursday, October 31, 2019
Marcus Rashford akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya 73 ikiwalaza wenyeji, Chelsea 2-1 ka...
LIVERPOOL YAING'OA ARSENAL KWA MATUTA CARABAO BAADA YA SARE YA 5-5
Thursday, October 31, 2019
Curtis Jones akipongezwa na wenzake baada ya kufunga penalti ya ushindi Liverpool ikiichapa Arsenal kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 5-5 ...
Wednesday, October 30, 2019
SIMBA SC YAPUNGUZWA KAZI SHINYANGA, YACHAPWA 1-0 NA MWADUI FC KAMBARAGE
Wednesday, October 30, 2019
Na Asha Said, SHINYANGA MABINGWA watetezi, Simba SC leo wamepunguzwa kasi baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Mwadui FC katika mchezo wa Lig...
AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR CHAMAZI
Wednesday, October 30, 2019
Mshambuliaji Mrundi wa Azam FC, Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ka...
MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL VALLADOLID 5-1 LA LIGA
Wednesday, October 30, 2019
Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 5-1 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid us...
AGUERO APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-1
Wednesday, October 30, 2019
Sergio Aguero na Nicolas Otamendi (kulia) wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 wa Manchester City dhidi ya Southampt...
AISHI KUDAKA MECHI YA 100 LEO TANGU ASAJILIWE SIMBA JUNI 2017
Wednesday, October 30, 2019
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa mechi saba kuchezwa kwenye viwanja tofauti, inga...
Tuesday, October 29, 2019
AISHI MANULA ALIVYOPATA MAPOKEZI MAZURI SIMBA SC ILIPOWASILI SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC KESHO
Tuesday, October 29, 2019
Mashabiki wa Simba SC wakimpiga picha kwa furaha kipa Aishi Manula baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili Shinyanga jana kwa ajili ya mch...
EBITOKE AFURAHISHWA NA MAHUSIANO MAZURI YA KIMTANDAO BAINA YA TANZANIA NA CHINA
Tuesday, October 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSANII wa vichekesho hapa nchini Anastazia Exavery maarufu kwa jina la 'Ebitoke', amekoshwa na ma...
Monday, October 28, 2019
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA INNOCENT HAULE
Monday, October 28, 2019
MBEYA CITY YAZINDUKA NA KUICHAPA MBAO FC 2-1 KIRUMBA, ALLIANCE 1-1 PRISONS NYAMAGANA
Monday, October 28, 2019
Na Asha Said, MWANZA TIMU ya Mbeya City imezinduka na kupata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba mji...
YANGA SC 1-2 PYRAMIDS FC (KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA)
Monday, October 28, 2019
Sunday, October 27, 2019
REFA AKATAA BAO LA ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA CRYSTAL PALACE
Sunday, October 27, 2019
Beki Mgiriki wa Arsenal, Sokratis Papastathopoulos akilalamika baada ya kukataliwa bao lake dakika za mwishoni kufuatia refa Martin Atkin...
MAN UNITED WAKOSA PENALTI MBILI, WASHINDA 3-1 UGENINI
Sunday, October 27, 2019
Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Norwich City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo U...
LIVERPOOL YAICHAPA SPURS 2-1, SASA YAIZIDI POINTI SITA MAN CITY
Sunday, October 27, 2019
Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akimrukia Nahodha wake, kiungo Jordan Henderson kushangilia naye baada ya wote kufunga katika ushindi ...
SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, AZAM FC YAPIGWA 1-0 NA RUVU MLANDIZI
Sunday, October 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, ARUSHA SIMBA SC imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida United kwenye mchezo wa ...
YANGA SC YACHUNGULIA MLANGO WA KUTOKEA AFRIKA, YACHAPWA 2-1 NA PYRAMIDS FC MWANZA
Sunday, October 27, 2019
Na Asha Said, MWANZA YANGA SC imejiweka kwenye mazingira magumu kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa 2...
NYOTA WA YANGA SC 1992, ZIMBWE, MZIBA, ASWILE NA ISSA ATHUMANI
Sunday, October 27, 2019
Wachezaji wa Yanga SC kabla ya moja ya mechi zao msimu wa 1992 kutoka kulia Deo Shundu, Hatibu Kibunda, wote Warundi, Said Zimbwe (marehe...
YANGA SC UAMUZI NI WENU KUSUKA AMA KUNYOA DHIDI YA PYRAMIDS FC
Sunday, October 27, 2019
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM HATIMAYE wakati umewadia,wanasema muda haudanganyi ni kweli umewadia,ile mechi inayokwenda kuamua hatim...
SAMATTA ATOLEWA DAKIKA ZA MWISHONI GENK YAICHAPA 1-0 CERCLE BRUGGE LIGI YA UBELGIJI
Sunday, October 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza kwa dakika 80 timu yake, KRC Genk ikiibuk...
Saturday, October 26, 2019
PULISIC APIGA HAT TRICK CHESLEA YAICHAPA BURNLEY 4-2 TURF MOOR
Saturday, October 26, 2019
Kiungo Mmarekani, Christian Pulisic akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 45 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya weny...
MAN CITY YAICHAPA ASTON VILLA 3-0 NA KUIKARIBIA LIVERPOOL
Saturday, October 26, 2019
Ilkay Gundogan akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 70, kufuatia Raheem Sterling kufunga la kwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)