Mshambuliaji Mbrazil wa Simba SC, Wilker Henrique da Silva akiwapangua wachezaji wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Azam FC katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Gymkhana mjini Dar es Salaam leo asubuhi. Simba imeshinda 3-0 mabao yake yakifungwa na kiungo Msudan, Sharaf Eldin Shiboub, Wilker da Silva na beki mzawa, Kennedy Wilson
Beki wa kati wa Simba SC, Kennedy Wilson (kulia) akitafuta mbinu za kuwapita wachezaji wa Azam
Beki wa Simba SC, Gerson Fraga Vieira akitafuta namna ya kumpita mchezaji wa Azam FC
Beki Muiviory Coast, Serge Pascal Wawa akimdhibiti mchezaji wa Azam FC
Beki wa kulia, Shomary Kapombe akitafuta namna ya kuwapita wachezaji wa Azam FC
Kiungo Ibrahim Ajibu akimiliki mpira katikati ya wachezaji wenzake
Arsenal fear Bukayo Saka could be out for TWO MONTHS with a torn hamstring
- as the Gunners are dealt a major blow to their Premier League title hopes
-
SAMI MOKBEL: Arsenal fear Bukayo Saka will miss around two months with the
hamstring injury he suffered against Palace. Arteta confirmed that Saka
will mis...
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment