Kinda wa Chelsea, Tammy Abraham akifurahia baada ya kuifungia Chelsea mabao matatu dakika za 34, 41 na 55 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers leo Uwanja wa Molineux. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Fikayo Tomori dakika ya 31 na Mason Mount dakika ya 90 na ushei, wakati ya Wolves moja Abraham alijifunga dakika ya 69 na lingine alifunga Patrick Cutrone dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lyra Valkyria Beats Dakota Kai to Win 1st Ever WWE Women's Intercontinental
Title
-
Lyra Valkyria defeated Dakota Kai to win the first-ever WWE Women's
Intercontinental Championship during the Jan. 13 episode of Raw on Netflix.
The two…
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment