// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
TAIFA STARS WALIVYOONDOKA LEO DAR KUIFUATA BURUNDI KWA MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINETAIFA STARS WALIVYOONDOKA LEO DAR KUIFUATA BURUNDI KWA MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TAIFA STARS WALIVYOONDOKA LEO DAR KUIFUATA BURUNDI KWA MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KESHO
Beki Kelvin Yondan akiwaongoza wachezaji wenzake wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam kwa safari ya Bujumbura nchini Burundi leo asubuhi
Taifa Stars inakwenda Bujumbura kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022
Kipa Juma Kaseja akiingia JNIA kwenda Bujumbura kwa ajili ya mchezo ambao utafanyika kesho
Timu hizo zitarudiana Jumapili Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam na mshindi wa jumla atapangwa katika moja ya makundi 10 kuanza rasmi mbio za Qatar 2022
Kiungo Mohammed Issa 'Banka' akiingia JNIA leo asubuhi tayari kwa safari
Kipa wa Simba SC, Beno Kakolanya akiwaongoza wenzake kuingia JNIA
Hapa ni wakati wakipata mlo wa asubuhi kabla ya safari yao
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment