// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINETAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kushoto) akigombea mpira na beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kwenye mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars leo Uwanja wa Boko Veterani.
Makipa Juma Kasema wa KMC (kushoto) na Metacha Mnata wa Yanga (kulia) wakijiandaa na mchezo dhidi ya Sudan utakaofanyika Jumapili mjini Dar es Salaam wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) mwakani nchini Cameroon
Wachezaji wa Simba, kiungo Hassan Dilunga (mbele) na beki Haruna Shamte wakigombea mpira
Mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda akimiliki mpira mbele ya mwenzake
Wachezaji wa Simba SC, kiungo Jonas Mkude (kushoto) na beki Erasto Nyoni (kulia)
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment