// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAID ALMASI ENZI ZAKE AKIWA NA HAMDOUN NA LWIZA KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAID ALMASI ENZI ZAKE AKIWA NA HAMDOUN NA LWIZA KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, September 29, 2019

        SAID ALMASI ENZI ZAKE AKIWA NA HAMDOUN NA LWIZA KIRUMBA

        REFA Said Almasi (katikati) akiwa na waamuzi wenzake, Alfred Lwiza (kulia), wote wa Mwanza na Nassor Hamdoun (kushoto) wa Kigoma Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza mwanzoni mwa miaka ya 1990 kabla ya moja ya mechi alizowahi kuchezesha enzi za uhai wake. Almasi alfariki dunia nyumbani kwake Jumanne wiki hii na kuzikwa Nyamanoro mjni Mwanza.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SAID ALMASI ENZI ZAKE AKIWA NA HAMDOUN NA LWIZA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry