Neymar akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kusawazisha dakika ya 58 katika sare ya 2-2 na Colombia kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Hard Rock mjini Miami, Marekani. Bao la kwanza la Brazil lilifungwa na Casemiro dakika ya 19, wakati ya Colombia yote yalifungwa na L. Muriel dakika ya 25 kwa penalti na 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL fans all say the same thing as Commanders clinch first playoff win
since 2006 with last-gasp lucky play
-
NFL fans have all said the same thing after the Washington Commanders won
their first playoff game in nearly two decades over the Tampa Bay
Buccaneers on S...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment