// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MWANTIKA APONA, AANZA MAZOEZI AZAM FC IKIJIANDAA KUMENYANA NA WAZIMBABWE KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMWANTIKA APONA, AANZA MAZOEZI AZAM FC IKIJIANDAA KUMENYANA NA WAZIMBABWE KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MWANTIKA APONA, AANZA MAZOEZI AZAM FC IKIJIANDAA KUMENYANA NA WAZIMBABWE KOMBE LA SHIRIKISHO
Beki David Mwantika aliyekuwa majeruhi akifanya mazoezi baada ya kupona Azam FC ikijiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Triangle United ya Zimbabwe Septemba 13 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
Mshambuliaji mpya, Muiviry Coast, Richard D'jodi akiwa mazoezini naye wakati Azam FC kesho inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers Uwanja wa Azam Complex
Rebels force RFU vote on under-fire Sweeney
-
Rugby Football Union chief executive Bill Sweeney's future will be voted on
by rugby clubs across England after his critics forced the governing body
to ca...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment