// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MARCO REUS AKOSA PENALTI DORTMUND WABANWA NA BARCA 0-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MARCO REUS AKOSA PENALTI DORTMUND WABANWA NA BARCA 0-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, September 18, 2019

        MARCO REUS AKOSA PENALTI DORTMUND WABANWA NA BARCA 0-0

        Marco Reus wa Borussia Dortmund akipiga penalti ambayo iliokolewa na kipa wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen dakika ya 57 baada ya Jadon Sancho kuchezewa rafu na Nelson Semedo kwenye boksi timu hizo zikitoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund PICHA ZAIDI GONGA HAPA

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MARCO REUS AKOSA PENALTI DORTMUND WABANWA NA BARCA 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry