Mshambuliaji wa Liverpool, Mmisri Mohamed Salah akidhibitiwa na beki wa Napoli, Msenegal Kalidou Koulibaly katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli, wenyeji wakishinda 2-0 mabao ya Dries Mertens kwa penalti dakika ya 82 na Fernando Llorente dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CHELTENHAM FESTIVAL TIPS - DAY FOUR: Can anyone stop Galopin Des Champs
retaining the Gold Cup?
-
There are seven more races for punters to take in, with 65,000 people set
to pack into the course in total and millions more will follow the action
on TV.
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment