Kiungo James Maddison akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Leicester City dakika ya 85 ikiilaza 2-1 Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Bao la kwanza la Leicester limefungwa na Ricardo Pereira dakika ya 69, likiwa la kusawazisha baada ya Harry Kane kuanza kuifungia Spurs dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers show 'character in abundance' to defy Ibrox woes
-
Barry Ferguson hails Rangers' "character" as they keep their "special"
Europa League campaign going by knocking out Fenerbahce on penalties
despite their I...
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment