Nyota wa Bayern Munich, Kingsley Coman akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Andorra kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Clement Lenglet dakika ya 52 na Wissam Ben Yedder dakika ya 90 na ushei, wakati Antoine Griezmann alikosa penalti dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amad focused on doing his best for United
-
The forward is optimistic for the future, as part of a young core of Reds
who are determined to turn fortunes around.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment