Monday, September 30, 2019
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA PETER NKWERA
Monday, September 30, 2019
MECHI YA YANGA SC NA POLISI LIGI KUU YASOGEZWA MBELE KWA SIKU MOJA HADI ALHAMISI DAR
Monday, September 30, 2019
Na Saada Salim, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC na Polisi Tanzania umesogezwa mbele kwa siku ...
TIMU TISA ZILIZOWAHI KUTWAA TAJI ZAFUZU HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA
Monday, September 30, 2019
WANAUME wametenganishwa na wavulana, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kukamilika kwa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya L...
MALINDI YAUNGANA NA AZAM, SIMBA, KMC NA KMKM KUAGA MAPEMA MICHUANO YA AFRIKA
Monday, September 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Malindi SC imeungana na KMKM, zote za Zanzibar na KMC, Azam FC na Simba SC kuaga mapema michuano ...
BIASHARA UNITED 0-2 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Monday, September 30, 2019
Sunday, September 29, 2019
TANZANIA BARA YAIPIGA UGANDA 4-2, KUIVAA SUDAN NUSU FAINALI CECAFA U20
Sunday, September 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, GULU TIMU ya Tanzania Bara imefanikiwa kuingia Nusu Fanali ya michuano ya Kombe la Matafa ya Afrika Masharki na Kati (C...
ZESCO UNITED 2-1 YANGA SC (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
Sunday, September 29, 2019
KAGERE AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA
Sunday, September 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, MUSOMA MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa we...
SAID ALMASI ENZI ZAKE AKIWA NA HAMDOUN NA LWIZA KIRUMBA
Sunday, September 29, 2019
REFA Said Almasi (katikati) akiwa na waamuzi wenzake, Alfred Lwiza (kulia), wote wa Mwanza na Nassor Hamdoun (kushoto) wa Kigoma Uwanja w...
LUIS SUAREZ AFUNGA BARCELONA YAICHAPA GETAFE 2-0 LA LIGA
Sunday, September 29, 2019
Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 41 kabla ya Junior Firpo kufunga la pli dakika ya 49 katika...
MAHREZ, JESUS NA STERLING WAFUNGA MAN CTY YAIPIGA EVERTON 3-1
Sunday, September 29, 2019
Riyad Mahrez akishanglia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 71 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Everton kwen...
SAMATTA APAMBANA HADI MWISHO KRC GENK YAPOKONYWA USHINDI MWISHONI UBELGIJI
Sunday, September 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, TRUIDEN MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku huu amecheza kwa dakika zote 90 timu yake, KR...
Saturday, September 28, 2019
RONALDO AFUNGA LA PLI JUVENTUS YAICHAPA SPAL 2-0 SERIE A
Saturday, September 28, 2019
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 78 ikiilaza SPAL 2-0 kufuatia Miralem Pjanic kufunga la ...
CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 2-0 LONDON
Saturday, September 28, 2019
Willian akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 76 kufuatia Jorginho kufunga la kwanza kwa penalti dakika ...
WIJNALDUM APIGA BAO PEKEE, LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD 1-0
Saturday, September 28, 2019
Kiungo Mholanzi, Georginio Wijnaldum akishangilia na mchezaji mwenzake, Mbrazil Roberto Firmino baada ya kuifungia Liverpool bao pekee da...
ALLIANCE FC YAZINDUKA NA KUWACHAPA SINGIDA UNITED 1-0 NAMFUA, RUVU NAYO YANG’ARA
Saturday, September 28, 2019
Na Mwandishi Wetuk SINGIDA TIMU ya Alliance FC imepata ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Singida United jioni ya leo Uwanja wa N...
TRIANGLE UNITED YAIGONGA 1-0 TENA AZAM FC NA KUITUPA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Saturday, September 28, 2019
Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya Abbas akimlamba chenga mchezaji wa Triangle United jioni ya leo Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo,...
ZESCO UNITED YAIHAMISHIA YANGA SC KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUICHAPA 2-1 LEO NDOLA
Saturday, September 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, NDOLA BAO la kujifunga la kiungo Mzanzibari, Abdulaziz Makame dakika za mwishoni limeiondoa Yanga SC kwenye michuano ya...
SIMBA SC WALIVYOJIFUA JANA MWANZA KUJIANDA NA MECHI DHIDI YA BIASHARA UNITED KESHO MUSOMA
Saturday, September 28, 2019
Mshambuliaji Mbrazil wa Simba SC, Wilker Da Silva akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kujiandaa na mchezo wa kesh...
BOSI WA AZAM TV, TIDO MHANDO ALIVYOWAKABIDHI VYETI WAANDISHI WALIOPIGWA MSASA NA TFF
Saturday, September 28, 2019
Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Dunstan Tido Mhando (wa kushoto), akimkabidhi cheti cha uhitimu mafunzo maalum ya wiki moja ya Shiri...
YANGA SC WAKIJIFUA KUPINDUA MEZA LEO DHIDI YA ZESCO UNITED NDOLA
Saturday, September 28, 2019
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini mjini Ndola jana asubuhi kuelekea mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia ha...
MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KABLA YA KUWAVAA TRIANGLE UNITED LEO BULAWAYO
Saturday, September 28, 2019
Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akijifua Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo jana kuelekea mchezo wa marudiano wa Raundi...
Friday, September 27, 2019
PETRO DE LUANDA YA KWANZA KUTINGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA
Friday, September 27, 2019
MABINGWA wa Angola, Petro de Luanda wamekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuitoa timu ya Mam...
KAGERA SUGAR 0-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Friday, September 27, 2019
Thursday, September 26, 2019
TANZANIA BARA KUIVAA UGANDA ROBO FAINALI CHALLENGE U20 BAADA YA KUIPIGA ZENJI 5-0 LEO
Thursday, September 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Tanzania Bara itakutana na wenyeji, Uganda katika Robo Fainali ya michuano ya vijana chini ya umr...
SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0 KAITABA
Thursday, September 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, BUKOBA SIMBA SC imeanza mapema utawala katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar k...
VINICIUS ALIA BAADA YA KUPIGA BAO LA KWANZA REAL TANGU FEBRUARI
Thursday, September 26, 2019
Vinicius Junior akibubujikwa machozi kwa furaha baada ya kuifungia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 36, hilo bao la kwanza kwa ujumla ...
CHELSEA V MAN UNITED, LIVERPOOL V ARSENAL RAUNDI YA NNE CARABAO
Thursday, September 26, 2019
Manchester United itamenyana na Chelsea katika Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Stamford Bridge m...
MAN UNITED YASONGA MBELE KWA USHINDI WA MATUTA CARABAO CUP
Thursday, September 26, 2019
Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Rochdale kwenye mchezo wa Raun...
LIVERPOOL YAICHAPA MILTON KEYNES DONS 2-0 CARABAO CUP
Thursday, September 26, 2019
Rhian Brewster akimrukia mgongoni mchezaji mwenzake, Ki-Jana Hoever kumpongeza baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 69 kati...
BATSHUAYI APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 7-1 KOMBE LA LIGI ENGLAND
Thursday, September 26, 2019
Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za saba na 86 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Grimsby Town kwe...
NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA
Thursday, September 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa zamani klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Abbas Dilunga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ny...
Wednesday, September 25, 2019
MTIBWA SUGAR YAENDELEZA UNYONGE LIGI KUU, YAPIGWA 3-1 NA TANZANIA PRISONS MOROGORO
Wednesday, September 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO TIMU ya Mtibwa Sugar imeendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo kuchapwa mabao 3-...
Subscribe to:
Posts (Atom)