Mason Greenwood wa Manchester United akiwa chini kwenye boksi baada ya kuangushwa na Pierre-Emile Hojbjerg wa Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England timu hizo zikitoka sare ya 1-1 leo Uwanja wa St. Mary's 1-1. Hata hivyo, refa Mike Dean hakutoa penalti ingawa dakika ya 73 alimtoa kwa kadi nyekundu Kevin Danso wa Southampton kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano. Man United walitangulia kwa bao la Daniel James dakika ya 10 kabla ya Jannik Vestergaard kuwasawazishia wenyeji dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tyson Fury vs. Oleksandr Usyk: Odds, Live Stream & KO, Judges' Scorecards
Predictions
-
Tyson Fury and Oleksandr Usyk put on an instant classic back in May. Now
they'll finish off 2024 with a rematch for the WBA, WBO and WBC
championship belts…
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment