• HABARI MPYA

        Saturday, August 17, 2019

        PUKKI APIGA HAT TRICK YA KWANZA YA MSIMU, NORWICH YASHINDA 3-1

        Teemu Pukki akishangilia baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 32, 63 na 75 katika ushindi wa Norwich City wa 3-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road. Bao la Newcastle limefungwa na  Jonjo Shelvey dakika ya 90 na ushei 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: PUKKI APIGA HAT TRICK YA KWANZA YA MSIMU, NORWICH YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry