Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza Daniel James baada ya kufunga penalti ya ushindi wakiilaza AC Milan kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 Uwanja wa Principality mjini Cardiff. Mabao ya Man United yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya 14 na Jesse Lingard dakika ya 72, wakati ya Milan yalifungwa na Suso dakika ya 26 na Victor Lindelof aliyejifunga dakika ya 60. Penalti za Man United ziliufngwa na Lingard, Ashley Young, Mason Greenwood, Mason Gomes na Daniel James wakati za Milan zilifungwa na Hakan Calhanoglu, Giacomo Bonaventura, Andre Silva, Rade Krunic, huku Daniel Maldini pekee akikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tigers rescue late draw versus Quins at Twickenham
-
Handre Pollard's last minute conversion via the post rescues a fascinating
draw for Leicester against Harlequins at Twickenham.
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment