Mshambuliaji wa Azam FC, Iddi Suleiman 'Nado' aliyekosekana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii timu ikifungwa 4-2 na Simba SC Jumamosi iliyopita akiwa mazoezini kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Fasil Kenema kesho Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
Beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo huo wa marudiano Raundi ya Kwanza
Mshambuliaji Muivory Coast, Richard Djodi akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo huo wa marudiano Raundi ya Kwanza
Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo dhidi ya Wahabeshi
Kocha Mrundi, Etienne Ndayiragijje anataka kuutumia mchezo wa kesho kupoza machungu ya kipigo cha Simba
Aston Villa vs Manchester City - Premier League: Live score and updates as
Pep Guardiola drops TWO huge names while one star isn't even in the squad
as beleaguered champions travel to Villa Park in search of much needed win
-
Follow Mail Sport's live blog of the Premier League fixture between Aston
Villa and Manchester City for the latest team news, live score and updates.
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment