
Saturday, August 31, 2019

KINDA wa umri wa miaka 16, winga wa Guinea-Bissau, Anssumane 'Ansu' Fati akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawaz...
LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND
Saturday, August 31, 2019
Mshambuliaji Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyej...
DULLAH MBABE ATWAA TAJI LA WBO BAADA YA KUMPIGA MCHINA KWA KO
Saturday, August 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, QINGDAO BONDIA Mtanzania, Abdallah Shaaban Pazi ‘Dullah Mbabe’ jana amefanikiwa kutwaa taji la WBO Asia Pacific uzito...
AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 4-0
Saturday, August 31, 2019
Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ...
TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2
Saturday, August 31, 2019
Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika za 19 na 43 kabla ya Sheffield United kusawazisdha kwa mabao ya...
REFA AWANYIMA PENALTI MAN UNITED WATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON
Saturday, August 31, 2019
Mason Greenwood wa Manchester United akiwa chini kwenye boksi baada ya kuangushwa na Pierre-Emile Hojbjerg wa Southampton katika mchezo w...
Friday, August 30, 2019
KABWILI NA ALLY NG’ANZI WAITWA KIKOSI CHA BARA CHINI YA MIAKA 20 KUCHEZA CECAFA
Friday, August 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Zuberi Katwila ameita wachezaji ...
MO DEWJI AWATULIZA WANA SIMBA SC BAADA YA KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA
Friday, August 30, 2019
Na Saada Salim, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohammed ‘Mo’ Dewji amewataka wapenzi na wanachama wa klabu hi...
Thursday, August 29, 2019
TAIFA STARS WALIVYOANZA KUJIFUA LEO BOKO VETERANI KUJIANDAA NA BURUNDI
Thursday, August 29, 2019
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa Uwanja wa Boko Veterani kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mchezo wa ku...
SAMATTA APANGIWA LIVERPOOL, NAPOLI NA SALZBURG KUNDI E LIGI YA MABINGWA ULAYA
Thursday, August 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, MONACO NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, timu yake, KRC Genk ya Ubelgiji imepangwa kundi moja na E Ligi ya Mabi...
VAN DIJK AWASHINDA MESSI NA RONALDO MWANASOKA BORA ULAYA
Thursday, August 29, 2019
KLABU ya Liverpool imetamba kwenye tuzo za wanasoka bora wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) usiku wa leo mjini Monaco, Ufaransa huku beki w...
JKT TANZANIA 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Thursday, August 29, 2019
SIMBA SC YAANZA VYEMA LIGI KUU, YAWACHAPA JKT TANZANIA 3-0 KAGERE AANZA NA MBILI
Thursday, August 29, 2019
Na Saada Salim, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao...
MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA TFF, NASSIB AFARIKI DUNIA ATAZIKWA KESHO KISUTU
Thursday, August 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEWAHI kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ramadhani Nassib amefariki dunia alfa...
SANCHEZ ATUA MILAN KUKAMILISHA UHAMISHO WA MKOPOPO
Thursday, August 29, 2019
Alexis Sanchez akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuwasili mjini Milan jana kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamis...
Wednesday, August 28, 2019
JACKPOT KUBWA YA KIHISTORIA YA TANZANIA, SH MILIONI 825 ZAKABIDHIWA KWA WASHINDI WAWILI KUTOKA SPORTPESA
Wednesday, August 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya Jackpot ya SportPesa kuvunjwa kwa mara ya kwanza ikiwa imefikia jumla ya milioni 825,913,640/= n...
YANGA SC 0-1 RUVU SHOOTING (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
Wednesday, August 28, 2019
KMC 0-1 AZAM FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Wednesday, August 28, 2019
YANGA SC YAANZA VIBAYA LIGI KUU, YACHAPWA BAO 1-0 NA RUVU SHOOTING LEO UHURU
Wednesday, August 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Ruvu Shooting imeanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwaangusha vigogo, ...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA DOUGLAS MUHANI, MCHEZAJI WA ZAMANI WA COASTAL UNION
Wednesday, August 28, 2019
SIMBA SC KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA KUNA FUNDISHO
Wednesday, August 28, 2019
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM Imekuwa ni jambo la kushangaza huku wengi wakiwa hawaamini kilichotokea Kwani katika hali ya kawaida wa...
Tuesday, August 27, 2019
AZAM FC YAANZA VYEMA LIGI KUU TANZANIA BARA, YAICHAPA KMC 1-0 LEO UWANJA WA UHURU
Tuesday, August 27, 2019
Na Saada Salim, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC ...
WACHEZAJI 40 WAITWA KIKOSI CHA AWALI CHA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE
Tuesday, August 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars Bakari Nyundo Shime ametaja kikosi cha wache...
Monday, August 26, 2019
HONGERA YANGA SC KWA KUITOA ROLLERS, LAKINI ILI KUITOA ZESCO...
Monday, August 26, 2019
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM KUNA msanii mmoja wa Bongo Fleva ile ya zamani kidogo wakati nipo kwenye ujana wangu hasa aliimba nyimb...
GRIEZMANN APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL 5-2 LA LIGA
Monday, August 26, 2019
Mshambuliaji mpya, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 41 na 50, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 5-2 ...
Sunday, August 25, 2019
KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 URUSI
Sunday, August 25, 2019
Anthony Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11 katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa T...
AGUERO AFUNGA MABAO MAWILI MAN CITY YASHINDA 3-1 ENGLAND
Sunday, August 25, 2019
Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 64 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Ligi...
LIPULI YAANZA VYEMA LIGI, YACHAPA MTIBWA SUGAR 3-1, MWADUI YAIPIGA 1-0 SINGIDA UNITED
Sunday, August 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, IRINGA TIMU ya Lipuli FC ya Iringa imeanza vyema michuano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)