
Wednesday, July 31, 2019

BINGWA mara mbili wa Kombe la Mataifa Afrika, kocha Herve Renard, ametangazwa rasmi na Shirikisho la soka Saudi Arabia kuwa kocha mkuu kue...
BOATENG ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA FIORENTINA
Wednesday, July 31, 2019
Na Mohamed Mshangama, TANGA KLABU ya fiorentina imemsaini mchezaji Kevin-Prince Boateng kutoka Sassuolo kwa ada ya euro million moja kwa ...
MSHAMBULIAJI MKONGO AWASILI DAR ES SALAAM KUKAMILISHA USAJILI WAKE YANGA SC
Wednesday, July 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI David Molinga (pichani kushoto) amewasili Alfajiri ya leo mjini Dar es Salaam kutoka kwao,...
HAZARD AKIWA KAZINI KWA MWAJIRI MPYA, REAL KOMBE LA AUDI
Wednesday, July 31, 2019
Mchezaji mpya wa Real Madrid, Eden Hazard akipambana na kiungo wa Tottenham Hotspur, Harry Winks katika mchezo wa Komnbe la Audi mjini Mu...
SPURS YAIFUNGA MADRID, MAN UNITED YAICHAPA TIMU YA SOLSKJAER
Wednesday, July 31, 2019
Na Mohamed Mshangama, TANGA Klabu ya Tottenham Hotspur imeingia fainali kwenye kikombe cha Audi baada ya kuifunga klabu ya Real madrid gol...
IKIMKOSA MAGUIRE MANCHESTER UNITED INAMLETA UMTITI
Wednesday, July 31, 2019
Na Mohamed Mshangama, TANGA KLABU ya Manchester United imeonesha nia ya kutaka kumsajili bingwa wa michuano ya kombe la dunia 2018 Samuel ...
HIMID MAO AJIUNGA NA ENPPI BAADA YA PETROJETI KUSHUKA DARAJA LIGI KUU MISRI
Wednesday, July 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami ‘Ninja’ amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya klabu y...
Tuesday, July 30, 2019
CHAMA AFUNGA SIMBA SC YALAZIMISHA SARE YA 1-1 NA ORLANDO PIRATES LEO JO’BURG
Tuesday, July 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Simba SC imekamilisha mechi zake za kujipima nguvu kwa kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na w...
SASA RASMI IDRISSA GUEYE NI MCHEZAJI MPYA WA KLABU YA PSG
Tuesday, July 30, 2019
KLABU ya Everton “Toffees”na wamefika makubaliano mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain “PSG” juu ya kiungo huyo raia wa Senegal. Akit...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SHAABAN KATWILA
Tuesday, July 30, 2019
YANGA SC YAENDELEZA UBABE MECHI ZA KUJIPIMA NGUVU MORO, YAICHAPA 2-0 FRIENDS RANGERS
Tuesday, July 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO YANGA SC leo imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi zake za kujipima nguvu kwenye kambi yake Morogoro kujia...
AJIBU AUMIA GOTI, HATARINI KUKOSEKANA MECHI YA MARUDIANO TAIFA STARS NA HARAMBEE
Tuesday, July 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Ajibu Migomba yuko hatarini kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya...
GARETH BALE ACHOMOLEWA KIKOSINI REAL MADRID
Tuesday, July 30, 2019
Na Mohamed Mshangama, TANGA MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka Wales, Gareth Bale, ameondolewa kikosini kinachoenda kwenye mashindano ya Kom...
JUVENTUS YASEMA TIMU NYINGI ZINAMTAKA DYBALA
Tuesday, July 30, 2019
Na Mohamed Mshangama, TANGA MAKAMU wa raisi wa Juventus, pavel Nedved ameweka wazi kuwa kuna maombi na mapendekezo kwa klabu za manchester...
LEICESTER CITY WAISHUKU MAN UNITED JUU YA MAGUIRE
Tuesday, July 30, 2019
Na Mohamed Mshangama, TANGA BEKI wa timu ya taifa ya England, Harry Maguire, hakuonekana kwenye mazoezi ya timu yake ya Leicester City huk...
Monday, July 29, 2019
CAF YATEUA NAREFA WANNE WA TANZANIA KUCHEZESHA MICHUANO YA KLABU AFRIKA
Monday, July 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeteua Waamuzi Wanne (4) na Makamishna Wawili(2) kutoka Tanzania kusima...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MIKE CHUMA
Monday, July 29, 2019
YANGA SC YAENDELEZA UBABE MECHI ZA KUJIPIMA NGUVU MORO, YAICHAPA 1-0 MAWENZI
Monday, July 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO YANGA SC jana imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi zake za kujipima nguvu kwenye kambi yake Morogoro kuji...
Sunday, July 28, 2019
UWEKEZAJI KATIKA KLABU TANZANIA UMEGUBIKWA NA SINTOFAHAMU
Sunday, July 28, 2019
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM WASWAHILI wanamisemo sana na nimepata bahati ya kusikia misemo mingi mno baada ya kuingia na kuishi uka...
TAIFA STARS YAJIWEKA PAGUMU KUFUZU CHAN 2020 BAADA YA SARE YA 0-0 NYUMBANI NA KENYA
Sunday, July 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imeshindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani baada ya kulazimishwa suluhu na Kenya katika mchezo...
Saturday, July 27, 2019
COSTA APIGA MABAO NNE ATLETICO YAICHAPA REAL MADRID 7-3
Saturday, July 27, 2019
Mshambuliaji Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid mabao manne dakika ya kwanza, 28, 45 kwa penalti na 51 katika us...
KAGERE AFUNGA SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA TOWNSHIP ROLLERS LEO RUSTERNBURG
Saturday, July 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Simba SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Township Rollers katika mchezo wa kirafiki ul...
SAMATTA AISAIDIA GENK KUANZA VYEMA KUTETEA TAJI LA LIGI YA UBELGIJI, YASHINDA 2-1
Saturday, July 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa Ijumaa ameisaidia timu yake, KRC Genk kuanza v...
Friday, July 26, 2019
KIINGILIO CHA CHINI TAIFA STARS NA HARAMBEE JUMAPILI NI SH 3,000 TU TAIFA
Friday, July 26, 2019
Na Asha Said, DAR ES SALAAM VIINGILIO vya mchezo wa kuwania fainali ya Kombe la Maitafa ya Afrika kwa wachezaji wa Ndani CHAN kati ya T...
Thursday, July 25, 2019
MAN UNITED NA TOTTENHAM LEO MECHI KUPIGWA SHANGHAI
Thursday, July 25, 2019
MCHANA wa leo katika mchuano ya ICC Manchester United wanakutana na wenzao wa Ligi ya Uingereza majogoo wa jiji la London, Tottenham Hotspu...
Wednesday, July 24, 2019
SERIKALI YAMZUIA MO DEWJI KUMILIKI ASILIMIA 49 ZA HISA PEKE YAKE SIMBA SC
Wednesday, July 24, 2019
Na Asha Said, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema mfumo wa uwekezaji ka...
YANGA SC SASA KUMENYANA NA KARIOBANGI SHARKS KATIKA KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI
Wednesday, July 24, 2019
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO TIMU ya Yanga SC itamenyana na Kariobangi Sharks ya Kenya Agosti 4, mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Sal...
REAL MADRID YAICHAPA ARSENAL KWA MATUTA BAADA YA SARE MAREKANI
Wednesday, July 24, 2019
Nyota wa Real Madrid, Marcelo na Marco Asensio (kulia) wakishangilia baada ya bao lao la kwanza katika sare ya 2-2 kabla ya ushindi wa pe...
SIMBA SC YAENDELEZA UMWAMBA ‘SAUZI’, YAIPIGA PLATINUMS STARS FC 4-1 RUSTERNBURG
Wednesday, July 24, 2019
Na Mwandishi Wetu, RUSTERNBURG TIMU ya Simba SC imeendeleza ubabe katika mechi zake za kujiandaa na msimu mpya baada ya leo kuwachapa weny...
Tuesday, July 23, 2019
YANGA WAWE MAKINI, WASIKUBALI KUZUNGUKWA NA WANAOZUNGUKA
Tuesday, July 23, 2019
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM SIKU moja niliwahi kupita mahali fulani na kukutana na hadithi moja nzuri ya ufahamu lakini mbaya kimat...
Subscribe to:
Posts (Atom)