Marco Verratti akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la ushindi dakika ya 86 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Bosnia kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bosnia walitangulia kwa bao la E. Džeko dakika ya 32 kabla ya L. Insigne kuisawazishia Italia dakika ya 49 na kwa ushindi huo kikosi cha Roberto Mancini kinafikisha pointi 12 katika mchezo wa nne na kuendelea kuongoza kundi hilo ikiizidi pointi tatu Finland inayofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
53 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment