
Sunday, June 30, 2019

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Gracia Kanda Mukoko anatarajiwa kujiung...
SINGIDA UNTED YAANZA KAZI, YASAJILI MSHAMBULIAJI WA GHANA NA BEKI MZANZIBARI
Sunday, June 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KUFUATIA kufunguliwa rasmi leo kwa dirisha la usajili la Ligi Kuu ya Tanzania Bara, klabu ya Singida Unit...
TFF YAFUNGUA RASMI DIRISHA LA USAJILI KWA KLABU ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA
Sunday, June 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kufunguliwa kwa Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Lig...
AMUNIKE AJIPA MATUMAINI YA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA ALGERIA KESHO
Sunday, June 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, CAIRO KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Taifa, Mnigeria Emmanuel Amuneke anaamini timu yake ina nafasi ...
SIASA NA ITIKADI ZAKE VISIRUHUSIWE SANA KUINGILIA KWENYE MICHEZO
Sunday, June 30, 2019
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kwenye mchezo wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 dhidi...
TAIFA STARS WAKIPASHA FUKWE YA COPACABANA KAMBINI BRAZIL 2007
Sunday, June 30, 2019
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars chini ya Kocha Mbrazil, Marcio Maximo wakiwa mazoezini kwenye ufukwe wa Copac...
NDIKUMANA ALIVYOANZA KAZI RASMI AZAM FC JANA CHAMAZI
Sunday, June 30, 2019
Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Mrundi Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam kujianda...
ALEXIS SANCHEZ AIPELEKA CHILE NUSU FAINALI COPA AMERICA
Sunday, June 30, 2019
Alexis Sanchez akiifungia penalti ya mwisho Chile ikiibuka na ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0 katika mchezo wa Robo Fainali y...
SUAREZ AKOSA PENALTI URUGUAY YATUPWA NJE COPA AMERICA
Sunday, June 30, 2019
Mshambuliaji Luis Suarez akipiga penalti ambayo alikosa, timu yake, Uruguay ikifungwa kwa penalti 5-4 na Peru kufuatia sare ya 0-0 katika...
CAMEROON YAJIWEKA NJIA PANDA KUFUZU 16 BORA AFCON
Sunday, June 30, 2019
MABINGWA watetezi, Cameroon wamelazimishwa sare ya 0-0 na Ghana katika mchezo mkali wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON...
Saturday, June 29, 2019
ARGENTINA KUMENYANA NA BRAZIL NUSU FAINALI COPA AMERICA
Saturday, June 29, 2019
Lionel Messi akimpongeza Lautaro Martinez baada ya kuifungia bao la kwanza Argentina dakika ya 10 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Venezuel...
BAFANA BAFANA YAFUFUA MATUMAINI YA KUSONGA MBELE AFCON
Saturday, June 29, 2019
BAO pekee la nyota wa Amiens SC ya Ufaransa, Bongani Zungu dakika ya 68 lilitosha kuipa Afrika Kusini ushindi wa 1-0 dhidi ya Namibia katik...
Friday, June 28, 2019
YANGA SC YAVAMIA KAMBI ZA AFCON MISRI NA KUSAJILI KIPA WA KENYA NA BEKI WA TAIFA STARS
Friday, June 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga SC imesajili wachezaji wawili wapya, kipa Mkenya Farouk Shikalo na beki Mtanzania, Ally Mt...
YANGA SC KUANIKA KIKOSI KIPYA JULAI 27 TAIFA KWA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA
Friday, June 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC itacheza mechi ya kwanza ya msimu Julai 27 mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam dhidi y...
AZAM FC YAMSAJILI MKONGWE WA BURUNDI, NDIKUMANA ALIYEWAHI KUCHEZA SIMBA
Friday, June 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Kimataifa kuto...
LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4
Friday, June 28, 2019
Beki kinda wa umri wa miaka 17, Sepp van der Berg akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka PEC Zwolle...
SIMBA SC YASAJILI MCHEZAJI MWINGINE KUTOKA KLABU YA LIGI DARAJA LA NNE BRAZIL
Friday, June 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imesajili mchezaji mwingine kutoka Brazil, ambaye ni beki Tairone Santos da Silva mwenye umri wa...
BRAZIL YAITOA PARAGUAY, YATINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA
Friday, June 28, 2019
Nyota wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia penalti ya mwisho na ya ushindi Brazil ikiilaza kwa penalti 4-3 P...
KENYA 3-2 TANZANIA (AFCON 2019)
Friday, June 28, 2019
TAIFA STARS YAGONGWA 3-2 NA HARAMBEE STARS NA KUTUPWA NJE MICHUANO YA AFCON
Friday, June 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuchapwa 3-2 na Kenya katika mche...
Thursday, June 27, 2019
ALGERIA YATANGULIA 16 BORA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA
Thursday, June 27, 2019
BAO pekee Mohamed Youcef Belaili limetosha kuipa ushindi wa 1-0 Algeria dhidi ya Senegal katika mchezo wa Kundi C Fainali za Kombe la Matai...
SHOMARI KAPOMBE AONGEZA MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUBAKI SIMBA SC
Thursday, June 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kulia kimataifa wa Tanzania, Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuic...
MISRI NA NIGERIA ZAWA ZA KWANZA KUTINGA 16 BORA AFCON 2019
Thursday, June 27, 2019
MISRI na Nigeria zimefungua milango ya hatua ya 16 Bora ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 baada ya ushindi dhidi ya wap...
Wednesday, June 26, 2019
KOTEI ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU KUJIUNGA NA KAIZER CHIEFS YA AFRIKA KUSINI
Wednesday, June 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mghana, James Agyekum amejiunga na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini baada ya kusiani mkatab...
MAYANJA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA KMC YA KINONDONI
Wednesday, June 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEWAHI kuwa Kocha wa Simba SC, Mganda Jackson Mayanja leo ametambulishwa rasmi kuwa kocha mpya wa klab...
CLATOUS CHAMA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA NA KAZI SIMBA SC
Wednesday, June 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mzambia, Clatous Chota Chama maarufu kwa majina ya utani ya Triple C na Mwamba wa Lusaka, amesaini...
CAMEROON YAANZA VYEMA AFCON, GHANA YALAZIMISHWA SARE
Wednesday, June 26, 2019
CAMEROON imeanza vyema Fainali za kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau jaa katika mchezo ...
Tuesday, June 25, 2019
AMUNIKE ANA MATUMAINI YA KUIPIGA KENYA MECHI YA PILI YA AFCON ALHAMISI CAIRO
Tuesday, June 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, CAIRO KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars, Emmanuel Amunike ana matumaini ya kufanya vizuri katika mchez...
BEKI MBRAZIL ALIYECHEZA PAMOJA NA NEYMAR, PHILIPPE COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
Tuesday, June 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kati na kiungo mkabaji, Mbrazil Gerson Fraga Vieira amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na ...
Subscribe to:
Posts (Atom)