Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akirejea katikati kinyonge baada ya Cardiff City kupata bao la pili katika ushindi wa 2-0, mabao yote akifunga Nathaniel Mendez-Laing dakika za 23 kwa penalti na 54 kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Pamoja na ushindi huo, Cardiff City imeungana na Fulham na Huddersfield Town kushuka daraja, huku Man United ikimaliza nafasi ya sita na pointi zake 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trinity Rodman issues furious response to dad Dennis as she refuses to
accept public apology: 'A joke'
-
Trinity, who is a soccer star and Olympic gold medalist, hit out at her
NBA-legend father in an astonishing appearance on Alex Cooper's Call Her
Daddy podc...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment