Bingwa wa dunia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua (kushoto) akitazamana kimikwara na mpinzani wake, Andy Ruiz Jr (kulia) jana wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea pambano lao la Jumamosi ukumbi Madison Square Garden mjini New York, Marekani. Joshua mwenye urefu wa futi sita kwa sasa anashikilia mataji ya IBF, WBA na WBO akiwa na rekodi ya kushinda mapambano yake yote 22, 21 kwa knockout, wakati Ruiz mwenye urefu wa futi nne amepoteza pambano moja na kushinda 32, huku 21 akishinda kwa knockout pia. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Footy great Patrick Dangerfield to QUIT top AFL job after making a very
controversial call he knew would outrage fans
-
The premiership-winning veteran of 338 AFL games is due to step down from
his powerful post on Tuesday night in a decision that will surprise many
people a...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment