Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao, Olivier Giroud baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya timu yake ya zamani, Arsenal usiku wa Jumatano kwenye fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Bakı Olimpiya mjini Baku, Azerbaijan. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 60 na Edin Hazard mawili, dakika yaa 65 kwa penalti na 72, wakati la Arsenal limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Thomas Partey not bothered by Black Stars captaincy decision – GFA
-
Ghana Football Association (GFA) Communications Director, Henry Asante
Twum, has dismissed any concerns over Thomas Partey losing the Black Stars
captaincy...
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment