Mshambuliaji Mgabon wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake dakika za 52 na 63 ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Burnley leo Uwanja wa Turf Moor na kumaliza nafasi ya nne kwa pointi zake 70, ikizidiwa moja na Tottenham Hotspur na mbili na Chelsea. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Eddie Nketiah dakika ya 90 na ushei, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 65 na kwa matokeo hayo Aubameyang anamaliza msimu na mabao 22 sawa na Waafrika wenzake, Mmisri Mohamed Salah na Msenegal Sadio Mane wote wa Liverpool ambao kwa pamoja ndiyo wafungaji bora wa msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Real Madrid eye Bournemouth's Huijsen - Wednesday's gossip
-
Real Madrid want Bournemouth's Dean Huijsen, Cherries target Liverpool's
Caoimhin Kelleher, Al-Nassr eye Arsenal's Gabriel Magalhaes, plus more.
1 minute ago
0 comments:
Post a Comment