Divock Origi (kulia) akishangilia na Xherdan Shaqiri (kushoto) baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 79 ikiilaza Barcelona 4-0 usiku huu Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa marudiano Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Origi pia alifunga bao la kwanza dakika ya saba, wakati mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 54 na 56 na kwa matokeo hayo Wekundu hao wanakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kufungwa 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
48 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment