
Friday, May 31, 2019

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtangaza Hance Mabena (pichani) kutoka Tanga kuwa mwamuzi wa mchez...
JOSHUA NA RUIZ SHUGHULI NI JUMAMOSI MADISON SQUARE
Friday, May 31, 2019
Bingwa wa dunia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua (kushoto) akitazamana kimikwara na mpinzani wake, Andy Ruiz Jr (kulia) jana wakat...
BRAZIL HATARINI KUMKOSA NEYMAR DHIDI YA BOLIVIA COPA AMERICA
Friday, May 31, 2019
Neymar akifanya mazoezi peke yake Gym baada ya kuumia Jumanne kwenye kambi ya Brazil huko Granja Comary nje kidogo ya Jiji la Rio de Jane...
Thursday, May 30, 2019
KAGERE AWA MCHEZAJI BORA WA MWAKA SIMBA SC, OKWI ATOKA MIKONO MITUPU
Thursday, May 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Rwanda, Meddie Kagere ameibuka kinara katika tuzo za Mo Simba kwa kushinda t...
ADI YUSSUF AWA MCHEZAJI WA KWANZA KUSAJILIWA BLACKPOOL YA LIGUE 1 ENGLAND
Thursday, May 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, LANCASHIRE MSHAMBULIAJi chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf amekuwa mchezaji wa kwanza kabisa dirisha hili ...
CHELSEA YAIFUMUA ARSENAL 4-1 NA KUTWAA EUROPA LEAGUE
Thursday, May 30, 2019
Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao, Olivier Giroud baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya timu...
RAIS WA FIFA, INFANTINO AIPONGEZA SIMBA SC KWA KUTWAA TENA UBINGWA WA LIGI KUU
Thursday, May 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Klabu ya Si...
Wednesday, May 29, 2019
MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 29, 2019
YANGA SC 0-2 AZAM FC (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 29, 2019
TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
Wednesday, May 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini...
NI ARSENAL AU CHELSEA KUBEBA EUROPA LEAGUE LEO?
Wednesday, May 29, 2019
TIMU za Arsenal na Chelsea tayari wako jijini Baku kwa ajili ya fainali ya Europa usiku wa leo, London ni jiji la pili tu kuwahi kufikisha ...
KAGERA SUGAR KUMENYANA NA PAMBA, MWADUI FC NA GEITA GOLD KATIKA ‘PLAY-OFFS’
Wednesday, May 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BODI ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imetoa ufafanuzi kuhusu nafasi zinapopaswa kukaa timu za Stand United n...
JOSHUA AFANYA MAZOEZI YA WAZI NEW YORK KABLA YA KUMVAA RUIZ
Wednesday, May 29, 2019
BINGWA wa ngumi uzito wa juu duniani, Anthony Joshua (kulia) amefanya mazoezi ya wazi leo mjini New York kuelekea pambano lake na Andy Ru...
CHELSEA HATARINI KUMKOSA KANTE LEO MECHI NA ARSENAL BAKU
Wednesday, May 29, 2019
Kiungo Mfaransa, N'Golo Kante akifanya mazoezi ya peke yake jana Uwanja wa Baku baada ya kuumia Jumamosi mazoezini kuelekea fainali y...
Tuesday, May 28, 2019
SIMBA SC WAKABIDHIWA KOMBE BAADA YA DROO NA MTIBWA SUGAR MOROGORO
Tuesday, May 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC wamekabidhiwa Kombe lao baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, ...
AZAM FC YAMALIZA LIGI KUU KWA USHINDI, YAICHAPA YANGA 2-0 UWANJA WA TAIFA TAIFA
Tuesday, May 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imemaliza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya vigogo, ...
STAND UNITED YASHUKA DARAJA, KAGERA SUGAR NA MWADUI FC ZAANGUKIA ‘KAPUNI’
Tuesday, May 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU ya Stand United imeipa mkono wa kwaheri Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuchapwa mabao 2-0 na JKT Tanzan...
RONALDO NI MTU MBAYA DUNIA NZIMA HAKUNA KAMA YEYE!
Tuesday, May 28, 2019
Cristiano Ronaldo akionyesha uwezo wake mkubwa kisoka kwa kubinuka tik tak katika mchezo wa kirafiki wa Hisani wa Juventus jana Uwanja wa...
WENGER ALIVYOMKOKOTA KAMA BEHEWA ZIDANE MECHI YA HISANI JANA
Tuesday, May 28, 2019
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger akimtoka nyota wa zamani wa Ufaransa na Real Madrid, Zinedine Zidane katika mechi ya hisani jan...
VILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND
Tuesday, May 28, 2019
Wachezaji wa Aston Villa wakishangilia baada ya kuifunga 2-1 Derby County usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mechi ya fainali ya mchu...
Monday, May 27, 2019
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA BAKARI MALIMA 'JEMBE ULAYA'
Monday, May 27, 2019
ZAMALEK WATWAA TAJI LA KWANZA AFRIKA TANGU 2003
Monday, May 27, 2019
TIMU ya Zamalek ya Misiri imefanikiwa kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya jumla ya 1-1 dhidi...
TP MAZEMBE WAAMUA KUACHANA NA AJIBU NA SASA ANAREJEA KLABU YAKE KIPENZI, SIMBA
Monday, May 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Tout Puissant Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeamua kusitisha mpango wa kums...
Sunday, May 26, 2019
AUSSEMS ASAINI MKATABA MPYA KUENDELEA KUFUNDISHA SIMBA SC HADI JULAI 2020
Sunday, May 26, 2019
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mbelgiji, Patrick Winand J. Aussems amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kufundisha klab...
WINGA WA AMAVUBI, SIBOMANA ALIYECHEZA HADI ULAYA AJA KUSAINI YANGA SC
Sunday, May 26, 2019
Na Canisius Kagabo, KIGALI WINGA wa kimataifa wa Rwanda na klabu ya Mukura Victory ya kwao, Patrick ‘Papy’ Sibomana amekwenda mjini Dar es...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AMANI SIMBA, KIPA WA ZAMANI WA SIMBA SC
Sunday, May 26, 2019
ALLY MOPELO, GODFREY KUKIMBIZI NA DOYI MOKE MAJIMAJI 1998
Sunday, May 26, 2019
Wachezaji wa Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma walioisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 1998 kutoka kulia ni m...
BAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIGA 3-0 LEIPZIG
Sunday, May 26, 2019
Nahodha Manuel Neuer akiwa ameinua Kombe la Ujerumani na wachezaji wenzake wa Bayern Munich baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-0 ...
Subscribe to:
Posts (Atom)