Beki wa Valencia, Mouctar Diakhaby akijaribu kumzuia Daniel Raba wa Villareal katika mchezo wa marudiano wa Europa League usiku wa jana Uwanja wa Mestalla. Valencia ilishinda 2-0, mabao ya Toni Lato dakika ya 13 na Dani Parejo dakika ya 54 na kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-1 na sasa itakutana na Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How to watch Arsenal v Fulham live on TV
-
Find out how to watch Tuesday's game against Fulham wherever you are in the
world
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment