Mshambuliaji wa Tanzania, Edmund John akimtoka beki wa Nigeria katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Nigeria ilishinda 5-4.
Edson Mshirakandi wa Serengeti Boys akiupigia hesabu mpira wa juu
Arafat Swalaki wa Serengeti Boys (kulia) akijaribu kuzuia shuti la mchezaji wa Nigeria
Kiungo wa Nigeria, Akinkunmi Amoo akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Tanzania
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kulia) akimsabahi mchezaji wa Nigeria kabla ya mchezo na Serengeti Boys
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akitoa hotuba ya ufunguzi wa michuano jana
Rais wa CAF, Ahmad akihutubia wapenzi wa soka jana Uwanja wa Taifa
Shabiki wa Tanzania akipeperusha bendera jana Uwanja wa Taifa
Msanii chipukizi wa kike akitumbuiza jana Uwanja wa Taifa kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON U17
Wasaniiwakitumbuiza jana Uwanja wa Taifa kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON U17
Who has made Troy's Premier League team of the week?
-
After every round of Premier League matches this season, Troy Deeney gives
us his team of the week. Do you agree with his choices?
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment