Kocha Zinedine Zidane akiwa haamini macho yake jana baada ya Real Madrid kuchapwa kwa mara ya kwanza chini yake, ikifungwa 2-1 na Valencia katika mchezo wa La Liga usiku wa jana hicho kikiwa kipigo cha tisa kwa timu hiyo msimu huu kwenye ligi hiyo. Mabao ya Valencia yalifungwa na Goncalo Guedes dakika ya 35 na Ezequiel Garay dakika ya 83, wakati la Real Madrid ambayo sasa inazidiwa pointi 13 na Barcelona inayoongoza La Liga, lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Does it work when a manager returns to his old club?
-
As David Moyes returns to Everton, BBC Sport looks at whether managers have
enjoyed success in their second spells at clubs.
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment