Paul Pogba akishangilia na wachezaji wenzake wa Manchester United baada ya kufunga penalti mbili dakika za 19 na 80 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United leo Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la West Ham lilifungwa na Felipe Anderson dakika ya 49 na kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 64 baada ya kucheza mechi 33 na kurejea nafasi ya tano, ikiizidi pointi moja Arsenal ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LAUTECH: Aseyin holds stakeholders’ meeting, warns estate agents
-
From Taiwo Oluwadare, Ibadan The Aseyin of Iseyin, Oba Sefiu Oyebola
Adeyeri III, Ajirotutu I, has told estate agents in Iseyin to stop
extorting student...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment