Pedro akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika ya tano na 27 ikiibuka na ushindi wa 4-3 dhidi ya Slavia Prague katika mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Simon Deli aliyejifunga dakika ya tisa na Olivier Giroud dakika ya 17, wakati ya Slavia Prague yalifungwa na Tomas Soucek dakika ya 25 na Petr Sevcik dakika za 51 na 54 na kwa matokeo hayo The Blues inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-3 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Praha na sasa itamenyana na Eintracht Frankfurt PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
44 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment