Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 36 ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Napoli kwenye mchezo wa marudiano Robo Fainali UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli. Kwa matokeo hayo, Arsenal inatinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-0 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza London na sasa itamenyana na Valencia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who has made Troy's Premier League team of the week?
-
After every round of Premier League matches this season, Troy Deeney gives
us his team of the week. Do you agree with his choices?
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment