Phil Foden akiifungia bao pekee Manchester City dakika ya tano tu ikiilaza Tottenham Hotspur 1-0 leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ushindi huo unaifanya Man City ifikishe pointi 86 baada ya kucheza mechi 34 na kurejea kileleni, sasa ikiizidi pointi mbili Liverpool inayofuatia nafasi ya pili, mbele ya Tottenham yenye pointi 67 za mechi 34 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miss America 2025 winner Abbie Stockard revealed to be dating NBA star
Walker Kessler
-
Stockard represented Alabama in the pageant in Orlando and won the crown
over Miss Texas Annette Addo-Yobo.
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment