Mpira uliopigwa na Richarlison dakika ya 13 ukimpita kipa wa Manchester United, David De Gea kutinga nyavuni kuipatia Everton bao la kwanza katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool. Mabao mengine ya Everton yamefungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 28, Lucas Digne dakika ya 56 na Theo Walcott dakika ya 64. Ushindi huo unaifanya Everton ifikishe pointi 49 baada ya kucheza mechi 35 na kusogea nafasi ya saba, nyuma ya Manchester United inayobaki na pointi zake 64 baada ya kucheza mechi 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment