Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao yote matatu Real Madrid dakika za 47, 76 na 90 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Baada ya ushindi huo katika mchezo wa 33, Real Madrid inafikisha pointi 64 ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi nne na mahasimu wao wa jiji, Atlético Madrid ambao kwa pamoja wapo nyuma ya vinara, Barcelona wenye pointi 77 za mechi 33 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miss America 2025 winner Abbie Stockard revealed to be dating NBA star
Walker Kessler
-
Stockard represented Alabama in the pageant in Orlando and won the crown
over Miss Texas Annette Addo-Yobo.
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment