// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD
Bernardo Silva akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 54 kabla ya Leroy Sane kufunga la pili dakika ya 66 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Man City inafikisha pointi 89 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 35 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England, wakati Man United inabaki na pointi zake 64 za mechi 34 katika nafasi ya sitaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
-
TP Mazembe have won the 2024 CAF Women’s Champions League title after they
defeated ASFAR 1-0 in the final on Saturday evening, played at the Ben
M’Hamed...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment