Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 63 ikiilaza 1-0 Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor leo. Ushindi huo unaifanya Man City ifikishe pointi 92 baada ya kucheza mechi 36 na kurejea kileleni kwenye Ligi Kuu ya England ikiizidi kwa pointi moja Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment