Tuesday, April 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa 1-0 JKT Tanzania...
AZAM FC 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Tuesday, April 30, 2019
Monday, April 29, 2019
YANGA SC YAINYAMAZISHA AZAM FC UHURU, YAICHAPA 1-0 BAO PEKEE LA MRISHO NGASSA
Monday, April 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyi...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA DK RAMADHANI MKUNA
Monday, April 29, 2019
VAN DIJK ASHINDA TUZO YA PFA, STERLING ACHUKUA YA CHIPUKIZI
Monday, April 29, 2019
Beki Mholanzi wa Liverpool, Virgil van Dijk akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) baada ya kukabid...
CAMEROON BINGWA AFCON U17 DAR, WAIPIGA GUINEA KWA PENALTI
Monday, April 29, 2019
TIMU ya Cameroon imetwaa ubingwa wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) 2019 baada ya ushindi wa pe...
Sunday, April 28, 2019
MESSI, SUAREZ NA WAKE ZAO KATIKA PATI LA UBINGWA LA LIGA
Sunday, April 28, 2019
Lionel Messi na Luis Suarez wakiwa na wake zao, Antonella Roccuzzo na Sofia Balbi kusherehekea taji la Liga baada ya ushindi wa 1-0 jana ...
DE GEA 'AFUNGISHA' KUIPA SARE CHELSEA 1-1 NA MAN UNITED
Sunday, April 28, 2019
Marcos Alonso akitumia makosa ya kipa David De Gea kuipatia bao la kusawazisha Chelsea dakika ya 43 kufuatia Juan Mata kuanza kuifungia M...
VARDY APIGA MBILI, LEICESTER CITY YAICHAPA ARSENAL 3-0
Sunday, April 28, 2019
Mshambuliaji Jamie Vardy wa Leicester City (kulia) akiondoka kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 86 katika ush...
AGUERO AWAZIMA BURNLEY TURF MOOR, MAN CITY YAREJEA KILELENI
Sunday, April 28, 2019
Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 63 ikiilaza 1-0 Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya En...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA DANNY MRWANDA
Sunday, April 28, 2019
BIASHARA UNITED 0-2 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Sunday, April 28, 2019
MESSI AIPA BARCELONA TAJI LA NANE LA LIGA NDANI YA MIAKA 11
Sunday, April 28, 2019
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 62 ikiilaza Levante 1-0 Uwanja wa Camp Nou na kujihakikishia t...
WAKALI WA NDOVU YA ARUSHA 1992, RASHID CHAMA, KABURU NA LUNGU
Sunday, April 28, 2019
WACHEZAJI wa Ndovu ya Arusha kutoka kulia kiungo mshambuliaji Francis Lungu (sasa marehemu), beki Rashid Idd ‘Chama’ na kiungo Abdallah S...
SAMATTA AISAIDIA KRC GENK KUIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA KAA GENT UBELGIJI
Sunday, April 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, GENT MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amesaidia klabu yake, KRC Genk kuibuka na...
MSUVA APIGA ZOTE MBILI DIFAA HASSAN EL-JADIDI YAICHAPA MOGHREB TETOUAN 2-0 MOROCCO
Sunday, April 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, CASABLANCA WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amefunga mabao yote mawili timu yake, Difaa Hassan...
Saturday, April 27, 2019
KMC 1-2 SIMBA SC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
Saturday, April 27, 2019
‘KAPTENI’ BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAITANDIKA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA
Saturday, April 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, MUSOMA SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya we...
CHELSEA WANAVYOJIFUA KUJIANDAA KUIVAA MAN UNITED JUMAPILI
Saturday, April 27, 2019
Eden Hazard akiwania mpira dhidi ya kinda, Richard Nartey katika mazoezi ya Chelsea jana kujiandaa na mchezo wa Jumapili wa Ligi Kuu ya E...
MANE, SALAH WAFUNGA LIVERPOOL YAIPIGA 5-0 HUDDERSFIELD
Saturday, April 27, 2019
Wafungaji wa mabao ya Liverpool katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana, kiungo wa kim...
Friday, April 26, 2019
KAMBUZI NA WENZAKE WALIOISAIDIA SIMBA SC DHIDI YA KMC JANA KIRUMBA WAFUNGIWA
Friday, April 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la SOka Tanzania (TFF) limewaondoa refa Abdallah Kambuzi na wasaidizi wake, Godfrey Msakila na...
WACHEZAJI YANGA SC WAKUBALI KUANZA MAZOEZI KESHO BAADA YA MAZUNGUMZO NA UONGOZI
Friday, April 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga SC wamemaliza mgomo wao baada ya mazungumzo na Kamati ya Usimamizi wa timu chini ya Mw...
ZAHERA AWAANDAA YANGA B KUIVAA AZAM FC BAADA YA ‘MAFAZA’ KUENDELEZA MGOMO LEO
Friday, April 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mwinyi Zahera leo amewafanyisha mazoezi wachezaji wa timu ya vijana, maarufu kama Yang...
YAHYA ZAYD ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA 20 ISMAILIA YAPIGWA 3-0 LIGI YA MISRI
Friday, April 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, CAIRO MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Yahya Zayd jana ametokea benchi dakika 20 za mwisho timu yake, I...
TAIFA STARS KUJIPIMA NA MISRI JUNI 13 MJINI ALEXANDRIA MAANDALIZI YA AFCON 2019
Friday, April 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki na Misri Juni 13, mwaka huu Uw...
Thursday, April 25, 2019
PAPY FATY AZIMIA UWANJANI NA KUFARIKI DUNIA ESWATINI
Thursday, April 25, 2019
KIUNGO wa kimataifa wa Burundi, Papy Faty amefariki dunia miezi mitatu kabla ya nchi yake kushiriki fainali zake za kwanza za Kombe la Mata...
SIMBA SC YAIGONGA KMC 2-1 KIRUMBA NA KUISHUSHA AZAM, SASA YAIPUMULIA YANGA SC
Thursday, April 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa 2-1 KMC, zote z...
MICHUANO YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 NA U15 YAENDESHWA NCHI NZIMA
Thursday, April 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MICHUAO ya Ligi ya Wilaya kwa vijana chini ya umri wa miaka 15 (U15) na U17 inaendelea katika wilaya mbal...
WACHEZAJI YANGA WAGOMA HADI WALIPWE MALIMBIKIZO YA MISHAHARA NA FEDHA ZA USAJILI
Thursday, April 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam wamegoma kufanya mazoezi leo asubuhi wakishinikiza walipw...
MECHI YA AZAM FC NA YANGA SC YAPELEKWA UWANJA WA UHURU BADALA YA TAIFA
Thursday, April 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO kati ya Azam FC na Yanga SC utafanyika Uwanja Uhuru badala ya Taifa mjini Dar es Salaam Aprili 29 ...
MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD
Thursday, April 25, 2019
Bernardo Silva akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 54 kabla ya Leroy Sane kufunga...
ARSENAL 'YATEPESHWA', YATANDIKWA 3-1 NA WOLVERHAMPTON
Thursday, April 25, 2019
Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil na wachezaji wenzake wa Arsenal wakisikitika baada ya timu yao kuchapwa mabao 3-1 na Wolverhampton Wandere...
Wednesday, April 24, 2019
FAINALI AFCON U17 DAR 2019 NI CAMEROON NA GUNEA, NIGERIA YADODA
Wednesday, April 24, 2019
TIMU za Cameroon na Guinea zitakutana katika Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON) Jumapili Sa...
SHUGHULI PEVU NUSU FAINALI COPPA ITALIA LEO AC MILAN V LAZIO
Wednesday, April 24, 2019
VIGOGO wa Serie A Juventus wameimiliki Coppa Italia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni na wameshinda mara nne mfululizo hadi msimu uliopita....
BARCELONA YANDELEZA UBABE LA LIGA, YAIPIGA ALAVES 2-0
Wednesday, April 24, 2019
Nyota wa Barcelona Luis Suarez na Carles Alena wakishangilia pamoja baada ya wote kuifungia timu hiyo katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Alav...
Subscribe to:
Posts (Atom)