• HABARI MPYA

        Saturday, March 02, 2019

        UKUTA WA TUKUYU STARS 1991, MOHAMMED KASANDA NA KATOTO

        MABEKI wa kati wa Tukuyu Stars mwaka 1991, Mohammed Kasanda (kushoto) na Shaaban Katoto (kulia) kabla ya moja ya mechi za timu hiyo za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: UKUTA WA TUKUYU STARS 1991, MOHAMMED KASANDA NA KATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry