Nico Schulz akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la ushindi dakika ya 90 ikiwalaza wenyeji, Uholanzi 3-2 katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam. Ujerumani ilitangulia kwa mabao ya Leroy Sane dakika ya 25 na Serge Gnabry dakika ya 34, kabla ya Uholanzi kusawazisha kupitia kwa Matthijs De Ligt dakika ya 48 na Memphis Depay dakika ya 63. Mechi nyingine ya kundi hilo jana, Ireland Kaskazini iliichapa Belarus 2-1 na sasa inaongoza kwa pointi zake sita, ikifuatiwa na Uholanzi pointi tatu sawa na Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ryan Reynolds and Blake Lively jet in as Wrexham close in on promotion to
the Championship ahead of crunch clash with Charlton
-
A win will be enough to seal Wrexham's promotion to the Championship after
third-placed Wycombe suffered a 1-0 loss away at Leyton Orient.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment