• HABARI MPYA

        Wednesday, March 20, 2019

        SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

        Mshambuliaji wa Simba SC, Adam Salamba akimdhibiti beki wa Ruvu Shooting, Tumba Lui Swedi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.
        Beki Mghana wa Simba SC, Nicholas Gyan (kushoto) akipiga hesabu za kumpokonya mpira winga wa Ruvu Shooting, Emmanuel Martin (kulia) 
        Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga (kushoto) akipiga mpira jana dhidi ya mchezaji wa Ruvu Shooting
        Kikosi cha Simba SC kilichoanza kwenye mechi ya jana dhidi ya Ruvu Shooting
        Kikosi cha Ruvu Shooting kilichoanza kwenye mechi ya jana dhidi ya Simba SC
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry