Cristiano Ronaldo akishangilia kwa kumkejeli kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone baada ya kuifungia Juventus mabao yote matatu dakika za 27 akimalizia pasi ya Federico Bernardeschi, 49 pasi ya Joao Cancelo na 86 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Kwa matokeo hayo, Juventus inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Next up: Bournemouth (A)
-
Ruben's squad - featuring several young talents - is busy preparing for
Sunday's trip to the south coast.
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment