Marcus Rashford akiteleza kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 28, kabla ya Anthony Martial kufunga la pili dakika ya 72 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford ambayo bao lake limefungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 90 usiku wa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Kwa ushindi huo wa kwanza baada ya kocha Ole Gunnar Solskjaer kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwa kocha wa kudumu, Man United inafikisha pointi 61 baada ya kucheza mechi 31 na kurejea nafasi ya nne ikiizidi pointi moja Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Emma Raducanu loses second-round Madrid Open clash amid British wipeout in
Spain - with Katie Boulter and Sonay Kartal knocked out in straight-sets
thrashings
-
MATTHEW LAMBWELL: After a promising start to the week, Britain's women were
brought back down to the crushed red earth of Madrid after three
second-round d...
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment