Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars aliowaalika Ikulu mjini Dar es Salaam leo kuwapongeza kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Uganda jana Uwanja wa Taifa na kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)
Mfungaji wa bao la pili la Taifa Stars jana, Erasto Nyoni akiw aamesimama kwa furaha leo
Wachezaji wa Taifa Stars wakipata chakula cha mchana Ikulu mjini Dar es Salaam leo
Wachezaji wa Taifa Stars wakifurahia Ikulu mjini Dar es Salaam leo katika mkutano wao na Rais Magufuli
Kushoto ni bondia Hassan Mwakinyo ambaye naye alialikwa Ikulu leo kufuatia ushindi wake wa juzi dhidi ya Muargentina, Sergio Eduardo Gonzalez wmjini Nairobi nchini Kenya
Wachezaji wa Taifa Stars wakifurahia Ikulu mjini Dar es Salaam leo katika mkutano wao na Rais Magufuli
Bondia Hassan Mwakinyo akitoa heshima zake mbele ya Rais Dk. Magufuli Ikulu leo
Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wachezaji wa Taifa Stars kulu mjini Dar es Salaam leo
Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mshambuliaji wa zamani wa Taifa Stars, Peter Tino Ikulu mjini Dar es Salaam leo
Deebo Samuel reveals what it really feels like to lose a Super Bowl
-
The wide receiver has reached the pinnacle of the NFL on two occasions in
recent seasons with the Niners but has failed to lift the Lombardi Trophy
every t...
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment