Mwanasoka Bora wa Dunia, Luka Modric wa Croatia akipiga hesabu wakati wa mchezo wa Kundi E kufuzu Euro 2020 dhidi ya wenyeji, Hungary Uwanja wa Groupama Arena mjini Budapest jana. Hungari ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Adam Szalai dakika ya 34 na Mate Patkai dakika ya 76 huku la Croatia likifungwa na Ante Rebic dakika ya 13 na mechi nyingine ya kundi hilo jana, Wales iliifunga 1-0 Slovakia mjini Cardiff PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UFL 2025 Schedule: Game Dates, Times and TV Info for WWE Icon The Rock's
League
-
Spring football is just around the corner, as WWE legend Dwayne "The Rock"
Johnson's United Football League unveiled the full schedule for the 2025
season.…
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment